Videmu vyenye Umri wa Miaka 20-24 vinasumbua sana

Videmu vyenye Umri wa Miaka 20-24 vinasumbua sana

Kakija geto we wekaga nyimbo za ally kiba na lavalava hakatoki

Na hua hawakosi nyimbo za Chris brown na Rihanna

Sasa mwambie aimbe ucheke

Status zao za wsp hua ni
1 kupenda ndio kitu najuaga
2 tamu yake yule boe(kauwa ndege wawili kwa jewellery moja)
3 mamake mtyu
4 mana JUNIOR wa kesho
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
ishawahi ona utamkwaji na uandikaji majina ya Watoto wao
kendriki lamaa
Cayla
Jenki
Na sio mda utaskia nasrini nabi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]fwala kabisa wewe
 
Kiukweli hata dem awemkali vip akiniambia tu yupo chuo yaan ni shwaaa hanioni tena hata kama nimetoka kumtongoza leo siwez date na mdada wachuo sa sibora mniuwe tu
Kwanini?
 
Miaka 18 mpaka 25 dhamani yake kwenye somo la kudate ni kubwa Sana hii ndyo peak

Miaka 26 mpaka 30 Dhamani inaanza kushuka mdogo mdogo

Kwahiyo waacheni waringe tu

Kwa mwanaume

Miaka 25 mpaka 40plus

Dhamani ni kubwa au inaanza kupanda na haishukii.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo mwanaume sasa, siyo dume zima linaanza kulia lia kubembeleza upumbavu.
 
Kibegi kaa ngumi sasa sijui wanaweka kitu gani [emoji1]
Hakuna wadada rahisi kama wa chuo,lakini uwe makini kujichotea maradhi ni kugusa.mwanamke anakuwa ashapevuka kiakiri akiwa na miaka 22+ lakini wakati huu ndo anakuwa the most wanted na wanaume ,hivyo kumake choice inampa wakati mgumu sana hivyo mwenye kisu kikali ndo hula nyama
 
Miaka 18 mpaka 25 dhamani yake kwenye somo la kudate ni kubwa Sana hii ndyo peak

Miaka 26 mpaka 30 Dhamani inaanza kushuka mdogo mdogo

Kwahiyo waacheni waringe tu

Kwa mwanaume

Miaka 25 mpaka 40plus

Dhamani ni kubwa au inaanza kupanda na haishukii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume mnajua kujipa moyo
 
Habari za humu.

Mi navichora tu, vikifika 35+ ndo vinaanza kutia tia huruma, maana vitakuwa vinatafuta mume bila mafanikio.

Kitoto unakitongoza hakitaki, kila ukikapigia simu, kanalalamika mara nina njaa, mara sina bando, unakatoa out siku zingine kanakuja, siku zingine hajaji(na pesa ninayotumia ni yangu)

Sasa nimekaita out hivi karibuni, kakadai muda umeenda, nikakaambia basi kesho, kasema sawa. Kesho kakanigeuka, kakatoa udhuru ghafla.

Jioni kakapiga simu, kanalalamika huko alikotaka aende (ktk udhuru) wenzake hawajatokea so kakabaki pekeyake, kakasema kananjaa, hakajala tangu mchana, nikakaambia kakajinunulie chakula kale. Mara kakasema kanatamani kutoka, nikakaambia katoke na rafiki zake walio karibu, kakasema hawapo, kako pekeyake, nikasema awasubiri wakirudi, hata kesho ili akatoke nao out.

Leo kananibipu, sijakapigia. Yaani mpaka siku kale hela yangu, ni hadi niichakate mbususu yake kimasihara ndo nikape hela. Na hakatapigiwa pigiwa simu tena kama zamani, hawa watu ukionyesha unawahitaji sana, watakutesa.

Lakini wenye age ya 25+ hata hawasumbui, utaichakata hadi uchoke mwenyewe.
Aisee
 
Back
Top Bottom