SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jitu linaenda kufa kibudu hukoHii video inayosambaa kwa kasi inaonyesha Al Hilal, waarabu weusi, wakiwa kambini wakijiandaa kuwakabili Yanga.
Ndugu zetu hawa wana kazi kubwa saaana.
Nimecheka sana aiseeHii video inayosambaa kwa kasi inaonyesha Al Hilal, waarabu weusi, wakiwa kambini wakijiandaa kuwakabili Yanga.
Ndugu zetu hawa wana kazi kubwa saaana.
Video inafurahisha sana.Nimecheka sana aisee
Kipindi mnapokea wageni mlikuwa mnapata faida gani? tuanzie hapo kwanzaNajiuliza yanga ikifungwa mashabiki wa simba watapata faida gani?
Thalatha bin thifuli wabilah taifik habib [emoji196][emoji196][emoji196]
Kipindi mnapokea wageni mlikuwa mnapata faida gani? tuanzie hapo kwanza
Kipindi mnapokea wageni mlikuwa mnapata faida gani? tuanzie hapo kwanza
Huko pagumu Sana, waanze mahesabu ya playoff ya shirikisho.Naziona goli 4 hizi hapa. Kuepuka hii wasipeleke timu
Yaani kuzidi ile walooipata yanga walipofungwa na Jwanneng kwa mkapa.Najiuliza yanga ikifungwa mashabiki wa simba watapata faida gani?
Ah! kuna waarabu weusi usipime! Hasa wako Libya, ule weusi wa kung'aa kama rangi ya nyeusi ya metalic kwenye gari!Mbona weusi hivyo hao ni waaaarabu kweli kheee