VIDEO: Al Hilal wakijiandaa kuwakabili Yanga

VIDEO: Al Hilal wakijiandaa kuwakabili Yanga

Kwani ngoma inapopigwa watu huwa wanapata faida gani? rahaaaa!!! Ngoma ikipingwa inatoa mlio, na yanga ikipigwa itatoa mlio!!!! Sikia mlio mzuri sana huu hapa:

Hiyo ndiyo raha ya ngoma/uto kupingwa!! Inatoa sauti tamu sana!!
 
Wamwongeze na mganga maarufu wa humu Jf!! Simtaji maana hakuna asiyemjua humu jf na akiiona post hii atajitokeza mwenyewe!! Aliwahi kusema humu wam-consult vinginevyo vipigo vinaendelea!
Huyo ni Simba damu. Atawachomesha wapigwe 9
 
Muulze hersi na manara.....kpnd wanawapokea Orlando pirates walpat faida gan?
 
Najiuliza yanga ikifungwa mashabiki wa simba watapata faida gani?
Kwani wakati mashabiki wa yanga wanapoke wanawapokea wapinzani wa simba eapoti yanga walikuwa wanapata faida gani?
 
Afu bora jambo kama hili lifanywe na mashabiki kuliko kiongozi wa juu kabisa wa Club

Anyway hapa chini ni waarabu wakigombania tickets za mechi dhidi ya Yanga

Screenshot_20221014-183450.png
 
Back
Top Bottom