mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kwani ngoma inapopigwa watu huwa wanapata faida gani? rahaaaa!!! Ngoma ikipingwa inatoa mlio, na yanga ikipigwa itatoa mlio!!!! Sikia mlio mzuri sana huu hapa:Najiuliza yanga ikifungwa mashabiki wa simba watapata faida gani?
Hiyo ndiyo raha ya ngoma/uto kupingwa!! Inatoa sauti tamu sana!!Kwani ngoma inapopigwa watu huwa wanapata faida gani? rahaaaa!!! Ngoma ikipingwa inatoa mlio, na yanga ikipigwa itatoa mlio!!!! Sikia mlio mzuri sana huu hapa:
Tutajisikia burudaaani. Faida yake ni kuongeza umri wa kuishiNajiuliza yanga ikifungwa mashabiki wa simba watapata faida gani?
Wamwongeze na mganga maarufu wa humu Jf!! Simtaji maana hakuna asiyemjua humu jf na akiiona post hii atajitokeza mwenyewe!! Aliwahi kusema humu wam-consult vinginevyo vipigo vinaendelea!Timu itaambatana na waganga 6. Wawili watafika leo kutoka Kongo
burudan hii hapa!Tutajisikia burudaaani. Faida yake ni kuongeza umri wa kuishi
Huyo ni Simba damu. Atawachomesha wapigwe 9Wamwongeze na mganga maarufu wa humu Jf!! Simtaji maana hakuna asiyemjua humu jf na akiiona post hii atajitokeza mwenyewe!! Aliwahi kusema humu wam-consult vinginevyo vipigo vinaendelea!
Si huwa wanasema mpe mchawi mwana alee?Huyo ni Simba damu. Atawachomesha wapigwe 9
Ngoja aje tumsikieSi huwa wanasema mpe mchawi mwana alee?
AiseeeAh! kuna waarabu weusi usipime! Hasa wako Libya, ule weusi wa kung'aa kama rangi ya nyeusi ya metalic kwenye gari!
Aisee watu wabaya hawaaaView attachment 2386899
Walivaa mpaka jezi
Na kipindi Rais wao sijui muhandisi ananunua na kuvaa jezi ya Kaiser Chiefs na kushangilia kama jibwa je! MkumbusheKipindi mnapokea wageni mlikuwa mnapata faida gani? tuanzie hapo kwanza
Kwani wakati mashabiki wa yanga wanapoke wanawapokea wapinzani wa simba eapoti yanga walikuwa wanapata faida gani?Najiuliza yanga ikifungwa mashabiki wa simba watapata faida gani?
Msafara wao uma watu 52 humo lazima waganga wawepoTimu itaambatana na waganga 6. Wawili watafika leo kutoka Kongo
Afu bora jambo kama hili lifanywe na mashabiki kuliko kiongozi wa juu kabisa wa ClubView attachment 2386899
Walivaa mpaka jezi
Sijui kuku wa kafara watabeba huku au watazikutaga huko hukoTimu itaambatana na waganga 6. Wawili watafika leo kutoka Kongo