Right Flower
Senior Member
- Jul 9, 2026
- 157
- 292
haaa haa au wivu !? Maana waTz mtu akikushinda jambo lazima umbandike majina mabaya. Tumesikia Diamond ni freemason, etc fanya mazoezi uwe imara na muonekano wa kiume usiwe kama sie wamamaFala tu uyo Mwafrika sijui. Hawa wanyanyua wanakuaga machoko tu
uchawi mtupu mtu wa kawaida hawezi kufanya hivyo bila msaada wa majini .Hapo uchawi upo sehemu gani?
Mgonile,
Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili:
video:
View: https://vt.tiktok.com/ZSqqb3kxw/
Mgonile,
Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili:
video:
View: https://vt.tiktok.com/ZSqqb3kxw/
kabisa mkuu na huo hapo ni ushahidi toshaUchwawi upo!
uwezo wa kutenda yasiyowezekana kwa kawaida,Kwanza kabisa, uchawi ni nini?
nimewashawathibitishia kwa picha mjongeo "in kamanda Mlilo's voice"Right Flower wakija akina Yoda na jopo lake watakwambia thibitisha.....
Hahahahaaaaanimewashawathibitishia kwa picha mjongeo "in kamanda Mlilo's voice"
comment gani yake ?Hahahahaaaaa
Infropreneur njoo huku na ile comment yako!
kuna unaowasaidia kupata hela chuma mf chuma ulete, kuna wanaopata penzi mf popo bawa, kuna wanaopata minguvu mf huyu wakujiita MwafrikaKama uchawi haukusaidii kupata fedha achana nao
sio kweli, sio kawaida wewe unaweza kama ni kawaida ?Hapo hakuna uchawi. Hayo mambo ni kawaida sana.
Majini hayo yanawe,a msaidia vitu vingine tofauti na kunyanyua ilo chuma?uchawi mtupu mtu wa kawaida hawezi kufanya hivyo bila msaada wa majini .
Atakuja akufanyie cross -examination in chief (kwa sauti ya....) Just wait!!comment gani yake ?