Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

uwezo wa kutenda yasiyowezekana kwa kawaida,
"Yasiyowezekana kwa kawaida" maana yake nini?

"Yasiyowezekana kwa kawaida" kwa nani?

"Kawaida" maana yake nini?

Unajuaje hili ni jambo lisilowezekana kwa kawaida, na hili ni jambo linalowezekana hatujajaribu vya kutosha tu, au hili ni jambo ambalo linawezekana ila hatujalijua tu?

Nakupa mfano kuelewesha zaidi, wazungu walivyokuja Africa, walikuja na sayansi na teknolojia ambayo ilikuwa mpya sana kwa waafrika. Mfano, kwa kujua nyendo za dunia, jua na mwezi, waliweza kutabiri mpaka kupatwa kwa jua, walikuja na vyombo vinavyoweza kutoa muziki bila mtu kupiga ala.

Haya mambo yote yalionekana kama uchawi, kwa definition yako ya "yasiyowezekana kwa kawaida", kwa wakati huo, haya yangeweza kuitwa uchawi tu.

Lakini hayakuwa uchawi, yalikuwa ni sayansi tu.

Sasa, wewe unapoita kitu uchawi, kwa sababu umeona ni kati ya "yasiyowezekana kwa kawaida", unahakikishaje ni uchawi kweli na si kitu usichokielewa tu, ambacho si uchawi, kama wale mababu na bibi zetu wakivyoona mzungu anatabiri kupatwa kwa jua, au anatoa muziki kwenye chombo kama gramophone wakaona uchawi?

Huu nao ukikuwa uchawi kwa sababu tu mababu zetu hawakuelewa gramophone inavyofanya kazi kwa kuwa ilikiwa inagoa muziki kwa namna ya mambo "yasiyowezekana kwa kawaida"?

il_570xN.5215328306_om0r.jpg
 
View attachment 3671806
hayo uliyosema hapo yako nje ya mada wezani, haiwezekani mtu kuimua kilo 400. Acha story za gramaphone wewe nyanyua kilo 400 kutuonyesha inawezekana period
 
Kwanza kabisa, unajuaje hizo ni kilo 400?

Kwa kuangalia video hii tu?

Unajuaje kuwa hilo pikipiki si toy jepesi tu ambalo halina uzito hivyo?
 
1. najua ni kilo 400 kwa kua pikpiki ni takribani 320kg na mtu ni 80.

2. Najua sio toy kwa kua kuna video nyingine inaonekana inaendeshwa anakuja anaikwapua anaibeba.
 
Hiyo pikipiki unaijua hata midel yake kuisema uzito hivyo? Ni pikipiki gani make and model?

Hafthor Bjornsson (The Mountain from "Games of Throne") amebeba kilo 500 bila uchawi.

Eddie Hall alibeba kilo 500, bila uchawi.
 
Mgonile,

Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili:

video:

View: https://vt.tiktok.com/ZSqqb3kxw/

Uchawi hapo uko wapi?
 
hayo uliyosema hapo yako nje ya mada wezani, haiwezekani mtu kuimua kilo 400. Acha story za gramaphone wewe nyanyua kilo 400 kutuonyesha inawezekana period
Hapa umepiga kama pele,
Swali zuri mkuu,
Ndio maana nimekupenda!!!
 
nimeitazama nadhani uchawi wa huyu wakujiita Mwafrika ndio pia uchawi wa huyo mzungu au wanatumia majini ya aina sawa, we unaonaje ?
Hayo mashindano huko yapo tu, sasa wewe mtafute huyo jamaa anayetumia majini mpeleke huko tuone akitoboa
 
haa haaa ha kama wao hawatumii majini basi atawashinda asubuhi tu, maana yeye ana nguvu za ziada
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom