Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

Yaan nimepoteza Mb zang Bure hapa aisee kuangalia video yako yaan kunyanyua pikipiki ndo uchawi kwan s wapo watu wananyanyua vyuma vizito?? Unauwezo mdogo sana wakufikiri
 
haa haaa ha kama wao hawatumii majini basi atawashinda asubuhi tu, maana yeye ana nguvu za ziada
SWali la mwisho mkuu, anaweza yatumia hayo majini kureplace hizi boda na bajaji hata kwa wiki moja? Sio lazima iwe nchi nzima hapo hapo kitaani kwake, yani watu wakawa wanapelekwa stendi na majini tu?
 
Yaan nimepoteza Mb zang Bure hapa aisee kuangalia video yako yaan kunyanyua pikipiki ndo uchawi kwan s wapo watu wananyanyua vyuma vizito?? Unauwezo mdogo sana wakufikiri
na wewe nyanyua piki piki tena likubwa na mtu apande kwa juu tuone kua ni jambo dogo
 
SWali la mwisho mkuu, anaweza yatumia hayo majini kureplace hizi boda na bajaji hata kwa wiki moja? Sio lazima iwe nchi nzima hapo hapo kitaani kwake, yani watu wakawa wanapelekwa stendi na majini tu?
kwamba awabebe na kuwatoa point A kwenda point B ?! Ndio inawezekana. Kwani mku we majini unayachukulia poa. Ulishaona mtu mwenye majini anaombewa ?! Anaweza kuwakusanya watu hata sita akawarusha ovyo kama mabakuli ya ugali wa jana.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Anza hayo mazoezi hata mwaja mzima hauwezi utajijambia hapo wifi yangu apate aibu bure

Sasa nifanye mazoez kwa ajili ya hilo jambo tu labda iwe kwa ajili ya afya huwa nafanya lakin watu wanauwezo binafsi wapo watu ambao miili yao inasumaku tafuta watu wenye maajabu duniani wengine sumu ya nyoka haiwaui vingine n kawaida tu.
 
sawa mkuu hatimae umekubali kua kuna watu wanauwezo binafsi na maajabu yao
 
Pikipiki inauzito kwenye 120kg-130kg .

Mbali na hapo mtu anaenda gym training na kunyanyua mpaka 270kg.

Sasa sjajua huo uchawi unatoka wapi.

Tanzania INSIGNIFICANT COGNITIVE ni kubwa sana mana kila kitu mnaelekeza kwenye uchawi.
 
Pikipiki inauzito kwenye 120kg-130kg .

Mbali na hapo mtu anaenda gym training na kunyanyua mpaka 270kg.

Sasa sjajua huo uchawi unatoka wapi.

Tanzania SIGNIFICANT COGNITIVE ni kubwa sana mana kila kitu mnaelekeza kwenye uchawi.

Yes nimeshangaa kweli huyu hii video kusema uchawi wakati ni kitu cha kawaida tu.
 
Mgonile,

Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili:

video:

View: https://vt.tiktok.com/ZSqqb3kxw/

Kubeba hiyo pikipiki ndiyo uchawi?
 
Back
Top Bottom