Right Flower
Senior Member
- Jul 9, 2026
- 157
- 292
- Thread starter
-
- #61
ndio binadamu wa kawaida hawezi kufanya hivyo bila msaada wa nguvu ya majinii. Hivi ulishawahi kuona mtu anayeombewa majini alivyo na nguvu ?ππππ
Kwa hiyo huo ndio uchawi?
Kilicho kufanya uamini huo ni uchawi ni kipi ?mwanaume kwa kusuta haujambo khaaaa
kumbe wananyanyua vitu vizoto 20kg au 30kg lakini kamwe sio 400kg hiyo ni karibia nusu tani usijifanye hujuiGym tunaona watu wananyanyua vitu vizito
kumbe wananyanyua vitu vizoto 20kg au 30kg lakini kamwe sio 400kg hiyo ni karibia nusu tani usijifanye hujui
Kilicho kufanya uamini huo ni uchawi ni kipi ?
Huko kwenu sumbawanga hakuna wanaume wanao beba magunia ya mahindi yenye hata 120kg ?
Wewe kwenu ni wapi ndugu ?
ndio binadamu wa kawaida hawezi kufanya hivyo bila msaada wa nguvu ya majinii. Hivi ulishawahi kuona mtu anayeombewa majini alivyo na nguvu ?
ndio hata yeye alikua anatumia majini. Yani kimsingi ili kuwaeliminate compititors lazima mtu atumie nguvu ya ziadaJaman vitu vingine ni uwezo binafsi kama fulan hawezi sio wote hawawezi kwan usain bolt had leo watu waliweza kuvunja record yake?
Mkuu natambua hoja yako, ila pia nijibu je ulishawahi kushuhudia mtu anayeombewa ana majini ?Hakuna uchawi hapo mkuu.
Kuna wale wanyanyua vyuma wananyanyua mpaka nusu tani
Mkuu natambua hoja yako, ila pia nijibu je ulishawahi kushuhudia mtu anayeombewa ana majini ?
ndio hata yeye alikua anatumia majini. Yani kimsingi ili kuwaeliminate compititors lazima mtu atumie nguvu ya ziada
Wewe mswahili wa mashairi ya kitibeli ulikua mchungaji ?Mwaka 2004- 2007 nilikuwa naombea Majini huko Makanya, Same. Wanaonijua watakuwa mashahidi
Huyo hagombanii chips yaindio mkuu, je wewe haikushangazi kua sio jambo ka kawaida tena hasa kwa wanaume wetu hawa tunaogombania nao chips mayai ?
Mwaka 2004- 2007 nilikuwa naombea Majini huko Makanya, Same. Wanaonijua watakuwa mashahidi
Umri umeenda. Ila kawaida sana.sio kweli, sio kawaida wewe unaweza kama ni kawaida ?