Video: Aliyekuwa RPC wa Arusha aanza majukumu mapya kwa kishindo huko CCP Moshi

Jamaa alipoteza cheo kizuri Sana cha upolisi kiutendaji (RPC)...😔😔😔...inaumiza sana.
 
Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi .

Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
Njaa tupu, huku hakuna rushwa ....
 
Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi .

Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
Hivinkwanini ukiwa na kitambi kikubwa miguu na mikono inakua myembambaaaa
 
Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi .

Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali

Hii ni A Town kaka sio CCP hapa
 
Kuna baadhi ya sifa kwa hakika si sifa bali ni kashfa😂😂😂😂. Babu na kitambi chake anapiga kelele bila ya kupenda yote katika jina la majukumu.
watoto wanaendaje chooni usipokuwa na majukumu sasa
 
Huyu ndie alikuwa anakamata wahalifu kwa njia ya kunusa nusa dogstyle......!!?
ama si huyu.....
 
Back
Top Bottom