Ndio hivyo tenaJamaa alipoteza cheo kizuri Sana cha upolisi kiutendaji (RPC)...πππ...inaumiza sana.
Njaa tupu, huku hakuna rushwa ....Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi .
Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
Hivinkwanini ukiwa na kitambi kikubwa miguu na mikono inakua myembambaaaaPamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi .
Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
Duh!Hivinkwanini ukiwa na kitambi kikubwa miguu na mikono inakua myembambaaaa
Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi .
Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
watoto wanaendaje chooni usipokuwa na majukumu sasaKuna baadhi ya sifa kwa hakika si sifa bali ni kashfaππππ. Babu na kitambi chake anapiga kelele bila ya kupenda yote katika jina la majukumu.
Ni mzima,si umesikia sauti?Huyu siyo mzima
Namaanisha utimamu wa akiliNi mzima,si umesikia sauti?
Hamna kitu mle (upstairs)Namaanisha utimamu wa akili