Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

Samia naye nimeona ana Tabia za Magufuli za kupenda kusifiwa.
Ndio maana tunaomtakia mafanikio tunamuasa akae mbali na hamnazo kama huyo Mwenyekiti wa CCM mkoani Mara...watamchafulia. Siku zake 100 ambazo wengine tumempa zinayoyoma na asipofanya kweli ajue mawe yako pale pale!
 
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...

Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!

Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!

1.
View attachment 1819875

2.
View attachment 1819876

3.
View attachment 1819877

4.
View attachment 1819879

5.
View attachment 1819880

6.
View attachment 1819881

7.
View attachment 1819882
Hivi Mara hakuna wasio wakristu?

Amandla...
 
Samia naye nimeona ana Tabia za Magufuli za kupenda kusifiwa.
Kwa mwanamke kuacha kumsifia itakuwa wrong sifa zitampa comfort na confidence ya kazi, makanusho ya public yatamsaidia yeye kujua mbivu na mbichi na yeye saikolojia yake aitumie vema
 
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...

Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!

Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!

1.
View attachment 1819875

2.
View attachment 1819876

3.
View attachment 1819877

4.
View attachment 1819879

5.
View attachment 1819880

6.
View attachment 1819881

7.
View attachment 1819882
Huyo jamaa anajulikana kwa unafiki wake
 
Huyo jamaa usipomjulia umekwishaa.
Hapo ma ditactive wa chama wamfuatile watakuta anaongoza genge la kumuangusha mama 2025 na pesa vibosile ukute wanampa yeye na akiwa majukwaani anahadaa umma kuwa yeye anakubaliana na mama.
Chunga kabisa huyo jaluo, anachagulika kwa sababu ya rushwa tu, ni inept and BOGUS.
 
Samia hana Sifa za kuwa mgombea 2025, na ifahamike hivyo, wenyewe wapo na Samia anajua ndiomana aliwaambia wasubiri muda wao utafika. Habari iko hivyo anahitimisha ngwe yake ya 10yrs.
 
Wengine tulikaririshwa na baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) kwamba kama Kiswahili kilivyo lugha ya Watanzania, hivyo hivyo Kiingereza kimetokea kuwa lugha ya dunia...wewe kaa na ujinga wako!

Unamsingizia Baba wa Taifa mambo mengi sana bure. Halafu, hayo ndiyo madhara ya kukariri mambo ^bee-course^ hata hapa penyewe, swali rahisi la True & False, wewe mwenzao walee jamaa wengine umeishia kuandika long Essay. Sijui tukuelewe-eleweje sasa? See!!! Kukubalika na kuidhinishwa kwa English na Kiswahili kama lugha rasmi za taifa hakuna uhusiano wowote whatsoever na shobolala na ufaraguzi wako wa kudhani just kwa kuzijua tu lugha husika ndiyo usomi wenyewe, sawa!??? I totally give up on you kwa sababu kuna watu wanafundishika, but wewe hata yale machache uyajuayo ama hujui kuyaaplai au yanakuelemea. Sorry for you. I yield back my time!!!
 
Hao ndio viwavi vilivyovamia JF baada ya milango kuachwa wazi siku hizi hadi layabouts wanatamba humu kwa makoti ya kuazima. Mtu hata hajui kuwa Kiingereza pia ni lugha ya taifa letu halafu bila aibu anamweka Kikwete grupu moja na mwendazake, really?

Wewe ni mchafukoge. Nasikitika humu umepitaje ilhali hujui kusoma!???
 
Huyo jamaa usipomjulia umekwishaa.
Hapo ma ditactive wa chama wamfuatile watakuta anaongoza genge la kumuangusha mama 2025 na pesa vibosile ukute wanampa yeye na akiwa majukwaani anahadaa umma kuwa yeye anakubaliana na mama.
Chunga kabisa huyo jaluo, anachagulika kwa sababu ya rushwa tu, ni inept and BOGUS.

Peleka huo ukabila wako Planet Mars
 
Niliiona juzi hii video. Nikataka kuanzisha uzi. Nikaghairi maana sikuona jipya!

Ila pia, hao wanaosifiwa nao wako complicit kwenye huo upumbavu.

Mtu utakaaje hapo jukwaani unasifiwa kinafiki nafiki namna hiyo na wewe unakaa kimya tu?

Mwisho wa siku naamini mhusika mkuu anaweza akapiga stop huo upumbavu kama akitaka.

Ni suala la kutamka tu hadharani kuwa hataki hizo sifa za kinafiki tu, basi. Habari yote kwisha.
wakati wa jiwe zilikuwa sifa, kwa mama ni za kinafiki. Wewe ndio mnafiki mkuu
 
wakati wa jiwe zilikuwa sifa, kwa mama ni za kinafiki. Wewe ndio mnafiki mkuu
Duh!

Nyumbu una matatizo ya ubongo aisee!!

Kwa hiyo kwa Magufuli uliona ni sifa za kinafiki na sasa kwa Samia unaona ni sifa!

Nyumbu logic 101 🤣🤣🤣.

Even an earthworm is more intelligent than you.

FOH.
 
Mko nyuma ya Raisi mnafanya nini huko? Njooni mbele kazi ifanyike bega kwa bega!
 
Duh!

Nyumbu una matatizo ya ubongo aisee!!

Kwa hiyo kwa Magufuli uliona ni sifa za kinafiki na sasa kwa Samia unaona ni sifa!

Nyumbu logic 101 🤣🤣🤣.

Even an earthworm is more intelligent than you.

FOH.
Mbona unapanic.....ukweli unauma🤣🤣🤣
 
Hao ndio viwavi vilivyovamia JF baada ya milango kuachwa wazi siku hizi hadi layabouts wanatamba humu kwa makoti ya kuazima. Mtu hata hajui kuwa Kiingereza pia ni lugha ya taifa letu halafu bila aibu anamweka Kikwete grupu moja na mwendazake, really?
JK Mrisho yupo vizuri sana katika lugha ya queen Elizabeth. Dunia sio kijiji bali global wise na ivo hakuna jinsi yoyote ile tunaweza kuiepuka lugha ya kiingereza (internatinally accepted world wide language). If yiu cannot speak and utter English language is better you keep quiet.
 
Back
Top Bottom