Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna ile ya mabatini nayo...
Yaaan barabara pekee ambayo ina kiwango afadhali ni ile ya External, EPZ,via Jeshin hadi daraja la Maji chumvi. Hawa Wahandisi wetu wa Barabara huwa natamani niwachape hata bakora kwa uhuni na Uhujumu wanaozifanyia barabara zetu maaana ni aibu sana.
 
Kuna wakati unaweza walaumu wahandisi
Lakini na pia mpunga wa mradi unaingiliwa na watu fulani!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…