Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hamna mtu paleHuyo anaetaka simu za mkononi zilipiwe Kodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mtu paleHuyo anaetaka simu za mkononi zilipiwe Kodi?
Barabara ikiwa mbovu unamlaumu injinia ikiwa mzuri unamsifia mwanasiasa.Yaaan barabara pekee ambayo ina kiwango afadhali ni ile ya External, EPZ,via Jeshin hadi daraja la Maji chumvi. Hawa Wahandisi wetu wa Barabara huwa natamani niwachape hata bakora kwa uhuni na Uhujumu wanaozifanyia barabara zetu maaana ni aibu sana.
Kwahiyo Mshahara kila mwezi unalipwa wa kazi gani?Barabara ikiwa mbovu unamlaumu injinia ikiwa mzuri unamsifia mwanasiasa.
Sasa nikuulize swali utasimamia vipi mradi kama fedha za usimamizi serikali haitoi?