Ndio Maana nilikuwa simfagilii Magufuli kwa viuzembe zembe kama hivi hamfikii Kagame katu.. Kagame upuuzi kama huu anaanza na waziri,Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi,Mkuu wa Wilaya,Diwani,Meya,Mkandarasi na Mwenyekiti wa Mtaa... this in nonsense... Barabara za Tanzania ni mbovu na hazina ukarabati wa muda muafaka hadi viongozi wasaidiwe.. wako busy kupiga deal... Hesabu za repair zingekuwa zinawekwa wazi and mwisho wa mwezi zinatangazwa na viongozi wanaelezea wapi na wapi wamerekebisha kwa kufika eneo la tukio na record zinawekwa kabisa for our future, Sisi vijana tunapigwa sana na Wazee