Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

-hawa madereva wa mwendokasi wanahitaji busara na utu sana wakiwa city center
-hawa bodaboda nao wanafamilia wanapigania mkate viongozi wetu wakuweka sawa haya mambo wao full ac huko
-miundombinu yetu sio ya kueleweka sisi tuliobadilisha vichochoro kua barabara tunatesana tu
-ila nchi hii laana tu yani kama tumeshindwa kuweka vizuizi kwenye railway itakua mwendokasi mbona kama najitesa kutoa ushauri mlaaniwe wenye mamlaka pateni utajiri lakini mlaaniwe kuku nyie

MADEREVA WA MWENDOKASI ACHENI UHURU KUJIONA MKO NDANI YA TRENI MIUNDOMBINU YETU INAINGILIANA SANA BILA VIZUIZI VYOVYOTE SERIKALI ACHENI KULALA KUNGEKUA NA KIZUIZI PALE TENA CHA GATE BODABODA ANGESIMAMA MNANUNUA MAGARI YA KIFAHARI TU NYAU NYIE

-NAAMINI KUIBADILISHA NCHI HII KAMWE USITEGEMEE CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA NI LAZIMA ITOKE NDANI YA MTU MMOJA AJITOLEE MAISHA YAKE KWAAJILI YA NCHI HAWA MAFISADI HAWA KUPITIA VYAMA HAMNA KITU
 
Anajua anaingia kwenye jakisheni bado yupo speed huoni tatizo hilo
Mwendokasi haina Junction kwanza ujue hilo hio ni Sub-train inapotoka mpaka inapofika Kate njia yake, wewe mwenye combo kingine tangu KM 100 kabla ya ku-Cross mwendo kasi unajua nitaipita mqendokasi....Mosi.

Pili hapo kisutu kutoka Mataa ya DIT mpaka Azam Marine kuna Junction 3000 kidogo hilo gari refu litasimama mara ngapi.
 
Mama ananikataza sanaaa kupanda bodaboda!
Kuanzia sasa namsikiliza[emoji119]
Bodaboda ni risk, lakini kuna maeneo ambayo ni risk zaidi kuliko maeneo mengine.

Mfano mjini kati(kariakoo, Posta) ndio balaa sana.

Juzi nilipanda Boda hapo mataa ya Gerezani anitoe Argentina, Daah alivyowasha moto akapita njia ya mwendokasi mimi rohoni nikawa najisemea leo nimepanda mtumbwi wa vimbwengo. Nashukuru alinifikisha salama, ila ile speed sio poa
 
Back
Top Bottom