Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
kwa JWTZ offocers course huendi hivi. unaomba.. mkuu wa kikosi anapitia maombi yako.Acha fix. Wewe kama siyo askari huwezi kujua yaliyomo. Hali ni mbaya kote.
Nina brother alimaliza form six tena Division 2, akaingia JWTZ, alipofika huko baada ya muda akaenda kozi ya MP ( hiki ni kitengo tu ambacho mshahara wake hauzidi 35,000 ). Na sasa hivi kamaliza bachelor lakini hakuna maajabu.
Kwasababu askari siyo watu wa kulalamika, jamii huwa inadhani wao wana maisha mazuri mnoo.
akiyakubali unaenda. akikataa unabaki hapo hapo.
na vile ameshaenda u MP. ndio lajifunga kabisa.
mm nina washlaji zangu waliingia jwtz baada ya kumaliza degree.
ndani ya miaka miwili wakawa selected lwenda officers course.