VIDEO-Askari wa Israel wakiwapa maji Wapalestina

Sisi waislamu wa Mpwapwa na longido tunawataka IDF wawape hao wapalestina na nyama yenye mafuta mengi(anayoipenda kafri Trump) ili wale washibe wanenepe
 
Haya ndio maisha ya Mazayuni kwa nchi zilizostaarabika kipigo tu mpaka na hao sio waislam ujue myahudi hafai kuishi na binadamu
 

Attachments

  • VID_20250521_074811_941.mp4
    3.2 MB
Vp mkuu unakumbuka ile ratiba ya madaktari/manesi wa zamu idf waliyosema ilikua ratiba ya linfobya magaidi? Idf haina kredibility kama ccm tu
 
Sisi waislamu wa Mpwapwa na longido tunawataka IDF wawape hao wapalestina na nyama yenye mafuta mengi(anayoipenda kafri Trump) ili wale washibe wanenepe
VP wakristo wa gaza? maana idf hawabagui
 
Haya ndio maisha ya Mazayuni kwa nchi zilizostaarabika kipigo tu mpaka na hao sio waislam ujue myahudi hafai kuishi na binadamu
Ulaya na Marekani kabla hazijavamiwa na wahuni kutoka nchi za kiarabu ulikuwa huwezi kuona uhuni wa vibaka kama huu,
Baada ya nchi hizo kuwakaribisha vibaka hao ndiyo maana unaona ushenzi huo nchi zimekosa ustahimilivu vita viko Gaza leo mnashambulia watu Ulaya na Marekani huo ndiyo sisi tunauita UNDEZI!!!!
 
VP wakristo wa gaza? maana idf hawabagui
Watajiju! Hivi asiye muislamu anaruhusiwa kuvaa kama anavyo vaa mwana mfalme wa Saudia? Niko nabishana na mtu ananiambia yale ni mavazi ya kitamaduni ya kiarabu sio ya kiislamu
 
Hiyo ni geresha tu! Wewe mtu anakupa maji na chakula ili akufukuze nyumbani kwako anakuwa amekusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…