Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mi naona mwamba katekwa sema hajui tu😀😀Wakuu
Fundi wa ball ashavuta jiko
Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto.
View attachment 3237737
Soma, Pia
Kila lenye heri kwaoWakuu
Fundi wa ball ashavuta jiko
Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto.
View attachment 3237737
Soma, Pia
MaashAllah! Kheir nyingi ziwe juu yao, wapate watoto wema.Wakuu
Fundi wa ball ashavuta jiko
Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto.
View attachment 3237737
Soma, Pia
Ajiandae kwenda kulea familia ya ushemejiniFundi wa ball ashavuta jiko
Mhm kwamba huyo dada ndio mrembo taifa zima ?hakuna kama yeye? Tembeeni muone asee.Wakaka wengi wa jf wanazidi kusonya, wanatamani wangemmiliki Hamisa ila tatizo hawana fedha.
Wapi nimesema ni mrembo taifa zima?Mhm kwamba huyo dada ndio mrembo taifa zima ?hakuna kama yeye? Tembeeni muone asee.
Hajatekwa bhana......😂😂Mi naona mwamba katekwa sema hajui tu😀😀