VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

🤔
 
Attachments

  • IMG_20250210_214323.jpg
    IMG_20250210_214323.jpg
    46.5 KB · Views: 2
Hii hatari ukipigwa hii leo kesho unatangaza ndoa hata kama utakosa mshenga unaweza shangaa unakodi mtu awe mshenga wako. Si unaona jamaa kaamua kumtumia Eng Hersi kufanikisha jambo😁😁😁
Mkuu, hii kayuguyugu ndo GUSA UNASE? 😹😹😹😹
 
ndio bas tena, ameumaliza mwendo ktk uchumi wake.
si mchezo kumiliki mashine ya kusaga na kukoboa pesa.
 
Hii hatari ukipigwa hii leo kesho unatangaza ndoa hata kama utakosa mshenga unaweza shangaa unakodi mtu awe mshenga wako. Si unaona jamaa kaamua kumtumia Eng Hersi kufanikisha jambo😁😁😁

😹😹😹
Lakini si ina expire date?
Kama kapigwa nayo muda ukifika atarudi kwao pasipo kugeuka nyuma.
 
Back
Top Bottom