VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

😹😹😹
Lakini si ina expire date?
Kama kapigwa nayo muda ukifika atarudi kwao pasipo kugeuka nyuma.
Ndiyo itaexpire lakini Mali alizochuma bongo watagawana pasu😁😁😁
 
Nakumbuka aliyekua mshambuliaji wa Yanga Iddi Moshi kaka yake na Haruna Moshi alioa kama hivi katikati ya Msimu.

Akaenda fungate, anamaliza fungate kuna Mechi ya Yanga na Simba.

Mwamba akatia kamba mbili katika ushindi wa Yanga wa 2-0.
Iddi Mosh Myamwezi, Bwana Harusi, Nategemea na Aziz k atafuata nyayo zake.
 
Mpunga ukiisha ndio tutajua kama hii ni ndoa au maigizo, na huyo dogo ni kama kazidiwa 10 years na Hamisa
 
Kwisha habari yake, kijana bado hana maturity ya kuhandle hilo lishangingi ngoja lianze kuonesha makucha
 
Ilitakiwa Azam au wasaf clouds wangerusha ili tangazo la ndoa ya kwanza ghali kusini mwa jangwa la Sahara
 
Kajivika mabomu,ajiandae na stress!R.I.P Ndikumana
Na kibaya zaidi wazazi wenzie Hamisa wote wana pesa ndefu na ushawishi kuliko Aziz kwaiyo maswala ya kuchapiwa linakuwa jambo jepes sana
 
Wakaka wengi wa jf wanazidi kusonya, wanatamani wangemmiliki Hamisa ila tatizo hawana fedha.
Wengine pesa wanazo za kutosha sana. Isipokuwa wanajaribu kupunguza umiliki wa vitu 'used au mtumba. Sasa hebu jaribu kuwaza;-Mtu anavaa nguo za mtumba, viatu mtumba, friji mtumba, samani (Furniture) , gari mtumba, nyumba mtumba nk. nk. hadi mke? Hapo hapana kwa kweli!
 
Back
Top Bottom