VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

The power of the p*ssy by kara king.
 
Kila laheri, japo ndoa za hizi imani hazihitaji kukaza shingo saaaana,,,,,kesho tu unaweza kuambiwa ndoa haipo
 
Ila jamani pesa ni mwanaharamu. Hivi huyu Aziz angekuwa kijijini kwetu na hiyo sura yale bila pesa angemuoa nani !? Mabinti kibao wangemkataa
Tutafute pesa hakuna binadamu mbaya wala hakuna mzee.
Ni hela yako tu
 
Kila la kheri jembe Aziz Ki, tulia na mkeo usisikilize maneno ya wambea wa Dar.
 
Hapa inaonekana kabisa kuwa kuna mmoja ana nyege na mwingine anatumia hii ndoa kama mtaji wa kunufaisha familia yake. Dogo anasikitisha mno, nyege gani hii ya kuoa mwanamke cha wote? Unaoa mwanamke aliyezaa na wanaume wengine huku ukitunza hao watoto?
 
Back
Top Bottom