Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Si kweliIla jamani pesa ni mwanaharamu. Hivi huyu Aziz angekuwa kijijini kwetu na hiyo sura yale bila pesa angemuoa nani !? Mabinti kibao wangemkataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweliIla jamani pesa ni mwanaharamu. Hivi huyu Aziz angekuwa kijijini kwetu na hiyo sura yale bila pesa angemuoa nani !? Mabinti kibao wangemkataa
Ngoja asajiliwe na timu ya Bernard Morrison aanze kulipwa 1.5m, hapo watagawana zilizobaki, zKi àtabeba shangazi kaja lake aende namungo hukooo.Kwisha habari yake, kijana bado hana maturity ya kuhandle hilo lishangingi ngoja lianze kuonesha makucha
Kweli, ngoja aende namungo sura ya pesa ipotee kama utamwona mobeto huko.Si kweli
Ndiyo maana mama yake kasema hizi akili siyo zake ngoja zirudi.Hajatelekeza mke huko kwao kweli?
Let's wait and seeKweli, ngoja aende namungo sura ya pesa ipotee kama utamwona mobeto huko.
Hamisa ni mwanamke wa kawaida kama wengine so relaxWakaka wengi wa jf wanazidi kusonya, wanatamani wangemmiliki Hamisa ila tatizo hawana fedha.
Hao wenye pesa zao wanaojaribu kupunguza umiliki wa vitu used wafanye hivyo kwenye maisha yao na si maisha ya mwanaume mwenzao na hata hawajamsaidia lolote kufanikisha yeye kuwa hapo alipo leo zaidi ya kupiga mdomo. Nadhani tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine, hii tabia ya kunyoosheana vidole kana kwamba sisi tu wakamilifu sana haijakaa poa.Wengine pesa wanazo za kutosha sana. Isipokuwa wanajaribu kupunguza umiliki wa vitu 'used au mtumba. Sasa hebu jaribu kuwaza;-Mtu anavaa nguo za mtumba, viatu mtumba, friji mtumba, samani (Furniture) , gari mtumba, nyumba mtumba nk. nk. hadi mke? Hapo hapana kwa kweli!
Hakuna mwanamke mzuri kuzidi wote ila Hamisa ni mzuri na wapo wanaume wangependa kuwa na mwanamke wa aina yake.Mhm kwamba huyo dada ndio mrembo taifa zima ?hakuna kama yeye? Tembeeni muone asee.
Ni sawa ni kwel wapo wanaopenda wa aina yake wala hilo sijapinga popote, ila wapo wanawake wazuri machoni pa mwanaume kuliko wote.Hakuna mwanamke mzuri kuzidi wote ila Hamisa ni mzuri na wapo wanaume wangependa kuwa na mwanamke wa aina yake.
Mkuu nili fika moshi chuo cha kcmc Kuna Pisi kinyama, Tanga, tabora, singida kwa shemeji yangu binti kiziwi nako si haba.Mhm kwamba huyo dada ndio mrembo taifa zima ?hakuna kama yeye? Tembeeni muone asee.
Wanawake wazuri wapo mno ,pia huyo ni kati ya hao mamilioni ya Wanawake wazuri.Mkuu nili fika moshi chuo cha kcmc Kuna Pisi kinyama, Tanga, tabora, singida kwa shemeji yangu binti kiziwi nako si haba.
hao washamba wa ma make up mjini.
We ndio maana nusu albino a.k.a nusu albinoKila la heri kwao, naona kataa ndoa wamekasirika kweli kweli.
Tuwazomeee "ooooooooooooooo😜😯😯
Wakaka wengi wa jf wanazidi kusonya, wanatamani wangemmiliki Hamisa ila tatizo hawana fedha.
Ni kweli, lkn tumekubaliana ni mzuri.Ni sawa ni kwel wapo wanaopenda wa aina yake wala hilo sijapinga popote, ila wapo wanawake wazuri machoni pa mwanaume kuliko wote.
Ila mi naona rangi tu, ila kwenye mkali hayumo.Wanawake wazuri wapo mno ,pia huyo ni kati ya hao mamilioni ya Wanawake wazuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la heri kwao, naona kataa ndoa wamekasirika kweli kweli.
Tuwazomeee "ooooooooooooooo[emoji12][emoji54][emoji54]
Hakuna mahali nimesema ni mbaya , wala katu toka nimezaliwa sijawahi kuona mbaya, japo wazuri nimewaona.Ni kweli, lkn tumekubaliana ni mzuri.
Ndoa ya zuchu liniMaashAllah! Kheir nyingi ziwe juu yao, wapate watoto wema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayaaHakuna mahali nimesema ni mbaya , wala katu toka nimezaliwa sijawahi kuona mbaya, japo wazuri nimewaona.