kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Kituo kinachofuata ni North Korea 😀Autocratic Regimes zitaondolewa moja baada ya nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kituo kinachofuata ni North Korea 😀Autocratic Regimes zitaondolewa moja baada ya nyingine.
Hesabu zilizopigwa hapo ni kali sana,Russia anapumulia mashine,hawezi toa msaada wowoteAlikuwa na Super Power akiwa anamlinda; iliishia wapi? Juzi tu (in fact wiki iliyopita tu) Assad alikuwa MOCKBA kuomba msaada zaidi wa ulinzi. Yaania alikwenda kuomba msaada wa kijeshi kwa mtu anayeomba msaada wa kijeshi kutoka North Korea!
Kirahisi namna hiyo. Wkt ana vyombo vyote, aaaah wapiMara pap, Jamhuri ya Wadaganyika nao wanamtoa baru chura kiziwi.
Mujaheedina wakike wamevaa vipedo na sound "Allahu akbar"Wakuu,
Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka.
Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa.
Video hizi zinasambaa sana X zikionesha ukubwa na ufahari wa jumba lake ilhali wananchi wake wakiwa wanateseka na njaa na magonjwa lukuki.
Video nyingine pia zimeonesha silaha nyingi zilizokuwemo kwenye kasri lake la kifahari.
Hapa Afrika kuna spika wa Bunge fulani alishawahi kuonesha jumba lake la kifahari. Kwa sasa watu wanaweza kujifanya hawaoni hilo kasri lake lakin mambo yakishaharibika watu watapita hapo kutuma salamu.
Asad alikuwa na kila kitu pia.Kirahisi namna hiyo. Wkt ana vyombo vyote, aaaah wapi
Huyo ni mithili ya mbwa koko, anabweka tu ukimsogelea anakimbia.Humuogopi Mwashambwa?
Uoga unaenda ukaisha.Tulivyo waoga wa kifo hatuwezi. Hayo mambo waachieni jamaa wa middle east
Utakuja kustaajabu wa kuwatoa baru wala haitokuwa wapinzani."Spark" itakuwa ni Uchaguzi Mkuu ujao ninajua tu wataiba Kura.
Lakini na sisi Wapinzani pia tujipange kama alivyosema Mzee Warioba.
Asad hakuwa na kila kitu. Wa hapa ana kila kitu pamoja na wazalendo.Asad alikuwa na kila kitu pia.
Sio bongoUoga unaenda ukaisha.
It is loading.........CC: Jamuhuri ya Watu wa Tanganyika.
Machawa.wazalendo
🤣🤣😂😂😂Mara pap, Jamhuri ya Wadaganyika nao wanamtoa baru chura kiziwi.
Mpaka Saud Arabia?Autocratic Regimes zitaondolewa moja baada ya nyingine.
Saudi huenda wakaambiwa kuondokana na Absolute Monarchy na wakafuata System kama ya UingerezaMpaka Saud Arabia?
Chuki za kinafiki maana wa saudi wanaongoza kwa maisha ya kula bata duniani. Kila aina ya uchafu uliokatazwa na dini ya kiislam wao ndio vinara wa kufanya.Shida ni moja raia wao wamejazwa chuki dhidi ya Nchi za Magharibi na Ukristo kwa ujumla.
Gadafi nguvu ya kumtoa ilikuwa kubwa mno mpaka mamluki wanajeshi wa magharibi walikuwa pale wanadress kama waarabu..... Huyu amekingiwa kifua sana na Iran na Russia ila naona nao wamechokaIla Assad ni mwanaume kapambana sana,hiv vita vimechukua muda mrefu sana
Sio kama Gaddafi walimfikia haraka sana
Inaonekana alikuwa amechelewa sana.Huyo mzee kasalitiwa, yaaan kaongeza mshahara wa jeshi 50% nchi ikiwa katikati vita miji miwili imeshachukuliwa. Hakua Sirias ata kidogo