Video: Baada ya Assad kukimbia nchi, waasi watua kwenye kasri lake la kifahari na kuanza kusheherekea

Video: Baada ya Assad kukimbia nchi, waasi watua kwenye kasri lake la kifahari na kuanza kusheherekea

Alikuwa na Super Power akiwa anamlinda; iliishia wapi? Juzi tu (in fact wiki iliyopita tu) Assad alikuwa MOCKBA kuomba msaada zaidi wa ulinzi. Yaania alikwenda kuomba msaada wa kijeshi kwa mtu anayeomba msaada wa kijeshi kutoka North Korea!
Hesabu zilizopigwa hapo ni kali sana,Russia anapumulia mashine,hawezi toa msaada wowote

Alifanya kosa kubwa kua na Rafiki kama Russia
 
Wakuu,

Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka.

Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa.

Video hizi zinasambaa sana X zikionesha ukubwa na ufahari wa jumba lake ilhali wananchi wake wakiwa wanateseka na njaa na magonjwa lukuki.

Video nyingine pia zimeonesha silaha nyingi zilizokuwemo kwenye kasri lake la kifahari.

Hapa Afrika kuna spika wa Bunge fulani alishawahi kuonesha jumba lake la kifahari. Kwa sasa watu wanaweza kujifanya hawaoni hilo kasri lake lakin mambo yakishaharibika watu watapita hapo kutuma salamu.



Mujaheedina wakike wamevaa vipedo na sound "Allahu akbar"
 
"Spark" itakuwa ni Uchaguzi Mkuu ujao ninajua tu wataiba Kura.

Lakini na sisi Wapinzani pia tujipange kama alivyosema Mzee Warioba.
Utakuja kustaajabu wa kuwatoa baru wala haitokuwa wapinzani.
 
Mara pap, Jamhuri ya Wadaganyika nao wanamtoa baru chura kiziwi.
🤣🤣😂😂😂
GridArt_20241203_231426743.jpg
 
Ila Assad ni mwanaume kapambana sana,hiv vita vimechukua muda mrefu sana

Sio kama Gaddafi walimfikia haraka sana
 
Mpaka Saud Arabia?
Saudi huenda wakaambiwa kuondokana na Absolute Monarchy na wakafuata System kama ya Uingereza

Shida ni moja raia wao wamejazwa chuki dhidi ya Nchi za Magharibi na Ukristo kwa ujumla.
 
Shida ni moja raia wao wamejazwa chuki dhidi ya Nchi za Magharibi na Ukristo kwa ujumla.
Chuki za kinafiki maana wa saudi wanaongoza kwa maisha ya kula bata duniani. Kila aina ya uchafu uliokatazwa na dini ya kiislam wao ndio vinara wa kufanya.
 
Ila Assad ni mwanaume kapambana sana,hiv vita vimechukua muda mrefu sana

Sio kama Gaddafi walimfikia haraka sana
Gadafi nguvu ya kumtoa ilikuwa kubwa mno mpaka mamluki wanajeshi wa magharibi walikuwa pale wanadress kama waarabu..... Huyu amekingiwa kifua sana na Iran na Russia ila naona nao wamechoka
 
Back
Top Bottom