Ndo ujue mzungu mbwa wa kuchezea mbali. Walijua kuingia moja kwa moja haitowezekana, wakaanzisha vita kulia na kushoto. Nani angeweza kuacha kwake kukiungua na kwenda kumpa msaada yeye?! Na jiulize sasa,lipi litatokea hapo badae: wanakuja kukaa mlangoni mwa Iran na Russia. Siku ya siku uelkeo ule utatokea vita ambayo dunia haijawahi kushuhudia. Anaetafutwa hapo ni mrusi tu.Gadafi nguvu ya kumtoa ilikuwa kubwa mno mpaka mamluki wanajeshi wa magharibi walikuwa pale wanadress kama waarabu..... Huyu amekingiwa kifua sana na Iran na Russia ila naona nao wamechoka
Sizani kama watauweza utawala wa Sheria hao jamaaInasemekana Turkey βͺ itawasaidia mambo ya kitaalamu ya utawala na utawala wa sheria ili kuepuka Chaos katika Taifa la Syria iliyokombolewa.
AMINANaomba Mungu anipe uhai nishuhudie siku chama cha mapinduzi kikidhalilishwa na wananchi.
Na hiyo inchi si ina mafuta si ndiyo?Yaani sasa ndio mambo yatakuwa mabaya zaidi
Makundi yataanza kuota kama uyoga
Watauwana sana Kama ya Libya, Lebanon, na hata Syria hii
Baada ya haya ni mapigano tu
Hawa wanaitwa waasi hawatajipanga kuwapa maisha mema wananchi
Hilo kasri watalisafisha lote libake jengo tu
Kwa makadirio wana mapipa zaidi ya bilioni mbiliNa hiyo inchi si ina mafuta si ndiyo?
Huyo Jamaa Assad kaua watu wengi sana. Nimefurahi wamelifurumusha.Wakuu,
Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka.
Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa.
Video hizi zinasambaa sana X zikionesha ukubwa na ufahari wa jumba lake ilhali wananchi wake wakiwa wanateseka na njaa na magonjwa lukuki.
Video nyingine pia zimeonesha silaha nyingi zilizokuwemo kwenye kasri lake la kifahari.
Hapa Afrika kuna spika wa Bunge fulani alishawahi kuonesha jumba lake la kifahari. Kwa sasa watu wanaweza kujifanya hawaoni hilo kasri lake lakin mambo yakishaharibika watu watapita hapo kutuma salamu.
Watafuata Katiba ya Syria na Sheria za Syria lakini Demokrasia sijui kama wataweza labda kwa msaada wa Waturuki.Sizani kama watauweza utawala wa Sheria hao jamaa
Kupoteza kimkakati huwa kupo na ni jambo la kawaida kwenye siasa za kimataifa.Alikuwa na Super Power akiwa anamlinda; iliishia wapi? Juzi tu (in fact wiki iliyopita tu) Assad alikuwa MOCKBA kuomba msaada zaidi wa ulinzi. Yaani alikwenda kuomba msaada wa kijeshi kwa mtu anayeomba msaada wa kijeshi kutoka North Korea!
Asante MOCKBA kwa kunijulisha hayo. Sasa ile Mediterranean fleet ya jeshi la Urusi itakwenda wapi tena?Kupoteza kimkakati huwa kupo na ni jambo la kawaida kwenye siasa za kimataifa.
Ufaransa vibaraka wake wote Afrika Magharibi wamepinduliwa na ushawishi wake wote umeisha ume chukuliwa na Urusi.
Ukraine inadhaminiwa na rundo la wanao jiita super power lakini inakaribia kupoteza vita.
ππππππππππππππππππππππππMara pap, Jamhuri ya Wadaganyika nao wanamtoa baru chura kiziwi.
Hapa Afrika kuna spika wa Bunge fulani alishawahi kuonesha jumba lake la kifahari. Kwa sasa watu wanaweza kujifanya hawaoni hilo kasri lake lakin mambo yakishaharibika watu watapita hapo kutuma salamu.ππ¨Wakuu,
Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka.
Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa.
Video hizi zinasambaa sana X zikionesha ukubwa na ufahari wa jumba lake ilhali wananchi wake wakiwa wanateseka na njaa na magonjwa lukuki.
Video nyingine pia zimeonesha silaha nyingi zilizokuwemo kwenye kasri lake la kifahari.
Hapa Afrika kuna spika wa Bunge fulani alishawahi kuonesha jumba lake la kifahari. Kwa sasa watu wanaweza kujifanya hawaoni hilo kasri lake lakin mambo yakishaharibika watu watapita hapo kutuma salamu.
Huyo mzee kasalitiwa, yaaan kaongeza mshahara wa jeshi 50% nchi ikiwa katikati vita miji miwili imeshachukuliwa. Hakua Sirias ata kidogo
Nitawahi Mbweni kwenye Kasri nipige picha tuπ€£Mara pap, Jamhuri ya Wadaganyika nao wanamtoa baru chura kiziwi.