Video: Baada ya Assad kukimbia nchi, waasi watua kwenye kasri lake la kifahari na kuanza kusheherekea

Video: Baada ya Assad kukimbia nchi, waasi watua kwenye kasri lake la kifahari na kuanza kusheherekea

Gadafi nguvu ya kumtoa ilikuwa kubwa mno mpaka mamluki wanajeshi wa magharibi walikuwa pale wanadress kama waarabu..... Huyu amekingiwa kifua sana na Iran na Russia ila naona nao wamechoka
Ndo ujue mzungu mbwa wa kuchezea mbali. Walijua kuingia moja kwa moja haitowezekana, wakaanzisha vita kulia na kushoto. Nani angeweza kuacha kwake kukiungua na kwenda kumpa msaada yeye?! Na jiulize sasa,lipi litatokea hapo badae: wanakuja kukaa mlangoni mwa Iran na Russia. Siku ya siku uelkeo ule utatokea vita ambayo dunia haijawahi kushuhudia. Anaetafutwa hapo ni mrusi tu.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Inasemekana Turkey ☪ itawasaidia mambo ya kitaalamu ya utawala na utawala wa sheria ili kuepuka Chaos katika Taifa la Syria iliyokombolewa.
Sizani kama watauweza utawala wa Sheria hao jamaa
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Yaani sasa ndio mambo yatakuwa mabaya zaidi
Makundi yataanza kuota kama uyoga
Watauwana sana Kama ya Libya, Lebanon, na hata Syria hii
Baada ya haya ni mapigano tu
Hawa wanaitwa waasi hawatajipanga kuwapa maisha mema wananchi
Hilo kasri watalisafisha lote libake jengo tu
Na hiyo inchi si ina mafuta si ndiyo?
 
Wakuu,

Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka.

Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa.

Video hizi zinasambaa sana X zikionesha ukubwa na ufahari wa jumba lake ilhali wananchi wake wakiwa wanateseka na njaa na magonjwa lukuki.

Video nyingine pia zimeonesha silaha nyingi zilizokuwemo kwenye kasri lake la kifahari.

Hapa Afrika kuna spika wa Bunge fulani alishawahi kuonesha jumba lake la kifahari. Kwa sasa watu wanaweza kujifanya hawaoni hilo kasri lake lakin mambo yakishaharibika watu watapita hapo kutuma salamu.

Huyo Jamaa Assad kaua watu wengi sana. Nimefurahi wamelifurumusha.

Dunia ya sasa haina nafasi kwa Madikiteta
 
Alikuwa na Super Power akiwa anamlinda; iliishia wapi? Juzi tu (in fact wiki iliyopita tu) Assad alikuwa MOCKBA kuomba msaada zaidi wa ulinzi. Yaani alikwenda kuomba msaada wa kijeshi kwa mtu anayeomba msaada wa kijeshi kutoka North Korea!
Kupoteza kimkakati huwa kupo na ni jambo la kawaida kwenye siasa za kimataifa.
Ufaransa vibaraka wake wote Afrika Magharibi wamepinduliwa na ushawishi wake wote umeisha ume chukuliwa na Urusi.
Ukraine inadhaminiwa na rundo la wanao jiita super power lakini inakaribia kupoteza vita.
 
Asante MOCKBA kwa kunijulisha hayo. Sasa ile Mediterranean fleet ya jeshi la Urusi itakwenda wapi tena?
 
Waasi wamepiga za kiisrael za mwaka 1967 ndani ya siku 6 watu walikuwa wameshashinda vita.
 
Wakuu,

Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka.

Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa.

Video hizi zinasambaa sana X zikionesha ukubwa na ufahari wa jumba lake ilhali wananchi wake wakiwa wanateseka na njaa na magonjwa lukuki.

Video nyingine pia zimeonesha silaha nyingi zilizokuwemo kwenye kasri lake la kifahari.

Hapa Afrika kuna spika wa Bunge fulani alishawahi kuonesha jumba lake la kifahari. Kwa sasa watu wanaweza kujifanya hawaoni hilo kasri lake lakin mambo yakishaharibika watu watapita hapo kutuma salamu.

Hapa Afrika kuna spika wa Bunge fulani alishawahi kuonesha jumba lake la kifahari. Kwa sasa watu wanaweza kujifanya hawaoni hilo kasri lake lakin mambo yakishaharibika watu watapita hapo kutuma salamu.📌🔨
 
Na ndio maana ya uasi. Wale unaokula nao na kuwajali sana wanakugeuka. Uasi hautoki mbali siku zote vinginevyo hauwezi fanikiwa
Huyo mzee kasalitiwa, yaaan kaongeza mshahara wa jeshi 50% nchi ikiwa katikati vita miji miwili imeshachukuliwa. Hakua Sirias ata kidogo
 
Daa,hilo jumba hilo...
Aisee Kuna watu wanaishi aisee
 
Back
Top Bottom