VIDEO: Baba Levo amshikisha Alikiba bango la Rais Samia, amgeuza Mashine ya kumpamba Samia

VIDEO: Baba Levo amshikisha Alikiba bango la Rais Samia, amgeuza Mashine ya kumpamba Samia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Chawa kazini kama kawaida yao tazama Baba Levo alivyomshikisha Alikiba bango la Rais Samia, na kumgeuza Mashine ya kumpamba Samia.

Siku chadomo ikishika nchi wasituletee mambo ya hivi, sisi tunataka kushika bendera ya taifa tu yachama hapana
 
Wakuu

Chawa kazini kama kawaida yao tazama Baba Levo alivyomshikisha Alikiba bango la Rais Samia, na kumgeuza Mashine ya kumpamba Samia.

Baba Levo: Mama hana deni kwasababu gani?
Alikiba: Amemaliza kwasababu Kila kitu Hmmm Ahhhh... kkhhs**ssgjyqq vijana..😂💔

Ila huku tulipo ni kubaya sana kushuhudiwa katika historia ya Nchi, watu wameamua kujikata kichwa na kutumia Tumbo kufikiria..😂, Mama Mitano tena..😂
 
Ila Transformation ya maisha ya Baba Levo ni hatari sana 😂. Fikiria huyu jamaa alikuwa ni ile hiphop nguumu kabisa na nyimbo zake enzi hizo mara akaenda chimbo, kuja kuibuka ni mwanasiasa tena akawa na diwani kupitia ACT Wazalendo.

Huyoooo, akabadilika tena kaangukia bongo fleva laini kabisa tena chawa ebhanaa, huyu si ni hiphop concious kabisa. Leo yupo zake na CCM hana noma na mtu.

Kweli kila jina lina maana.
 
Hana deni wakati kasema anakopa na ataendelea kukopa
 
Back
Top Bottom