GE2025 VIDEO: Baba Levo kama alishindwa kujibu maswali mepesi kama haya, anawezaje kuwa Mbunge?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu

Nimekutana na clip hii ya Baba Levo akiwa ameulizwa maswali mepesi kabisa na huyu comedian anaitwa Kipotoshi. Hii interview ina miaka takribani minne lakini it is very relevant hata sasa

Yaani anaulizwa muswada ni nini hajui, muswada ni topic ipo form 1 sijui form 2

Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM

Anaulizwa nchi ina mihimili mingapi hajui kitu kabisa!

Huyu ndo anataka akawakilishe jimbo la Kigoma Mjini? Kama mambo mepesi ya kidato cha pili hawezi ataweza mambo mazito na kujadili mikataba yenye maslahi kwa nchi?

Kama mtu kama huyu anahisi na ana onfidence ya kwenda kuchukua fomu basi tuna shida kubwa sana kama taifa!

Ni aibu sana!

Muswada ni maoni.

Yuko sahihi.
Leta tafsiri yako yoyote lazima itaangukia kwenye maana Pana ya neno maoni.
 
Hata hii comment yako ni umetoa maoni, Kwahyo kama ulivo sema ni sahihi basi huu nao ni Mswada
1. Kwenye uandishi wa vitabu kile kinachopelekwa kwa editors ni muswada.

2. Mwanamuziki anapoandika wimbo ni muswada.

3. Ktk utunzi wa sheria kile kinachoandaliwa na jopo la wataalamu ama kamati ya bunge ni muswada.

Kwahiyo hata haya ninayoandika hapa ni muswada. Mpk pale yatakapo kubaliwa ama kukataliwa na vyombo mahususi
 
3. Kile kilicho andaliwa ni rasimi au draft, kile kilicho wakilishwa bungeni ni mswada au bill kwa ajili ya kujadaliwa
 
Wakuu

Nimekutana na clip hii ya Baba Levo akiwa ameulizwa maswali mepesi kabisa na huyu comedian anaitwa Kipotoshi. Hii interview ina miaka takribani minne lakini it is very relevant hata sasa

Yaani anaulizwa muswada ni nini hajui, muswada ni topic ipo form 1 sijui form 2

Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM

Anaulizwa nchi ina mihimili mingapi hajui kitu kabisa!

Huyu ndo anataka akawakilishe jimbo la Kigoma Mjini? Kama mambo mepesi ya kidato cha pili hawezi ataweza mambo mazito na kujadili mikataba yenye maslahi kwa nchi?

Kama mtu kama huyu anahisi na ana onfidence ya kwenda kuchukua fomu basi tuna shida kubwa sana kama taifa!

Ni aibu sana!

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ahahaha jamani jamani jamani jamani hiii ndo tanzaniiiaaaaa yetu na ndiko tunaelekea hukooo jamani mmmmh
 
Kumbuka amewahi kuwa diwani huyu kwa miaka mitano!

Ni ugumu wa maisha unambadilisha mtu kuwa CHAWA! ili mkono uende kichwani!

Serikali haizalishi tena ajira siku hizi, bali inazalisha CHAWA! siku hizi UCHAWA ni ajira rasmi- IMERASIMISHWA NA MAMAENU!
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ahahaha jamani jamani jamani jamani hiii ndo tanzaniiiaaaaa yetu na ndiko tunaelekea hukooo jamani mmmmh
Oaaa wazee tunaangalia namna anavofkiliaaaa kama mtot wa std six asee atakama wadauu
 
3. Kile kilicho andaliwa ni rasimi au draft, kile kilicho wakilishwa bungeni ni mswada au bill kwa ajili ya kujadaliwa
Lkn yote kwa ujumla ni maoni. Ndiyo maana nikasema zunguka kokote uendako bado ni maoni tu.

Yaani ni sawa na pesa.
Pesa msibani....rambirambi.
Pesa kanisani....sadaka.
Pesa kazini.....mshahara.
Pesa kibaruani....ujira.
Pesa kuposa ......mahari.
 
Kwa mchepuko...... Hongo
 
Back
Top Bottom