Wakuu
Nimekutana na clip hii ya Baba Levo akiwa ameulizwa maswali mepesi kabisa na huyu comedian anaitwa Kipotoshi. Hii interview ina miaka takribani minne lakini it is very relevant hata sasa
Yaani anaulizwa muswada ni nini hajui, muswada ni topic ipo form 1 sijui form 2
Soma pia:
Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Anaulizwa nchi ina mihimili mingapi hajui kitu kabisa!
Huyu ndo anataka akawakilishe jimbo la Kigoma Mjini? Kama mambo mepesi ya kidato cha pili hawezi ataweza mambo mazito na kujadili mikataba yenye maslahi kwa nchi?
Kama mtu kama huyu anahisi na ana onfidence ya kwenda kuchukua fomu basi tuna shida kubwa sana kama taifa!
Ni aibu sana!