Muswada ni maoni.
Yuko sahihi.
Leta tafsiri yako yoyote lazima itaangukia kwenye maana Pana ya neno maoni.
1. Kwenye uandishi wa vitabu kile kinachopelekwa kwa editors ni muswada.Hata hii comment yako ni umetoa maoni, Kwahyo kama ulivo sema ni sahihi basi huu nao ni Mswada
3. Kile kilicho andaliwa ni rasimi au draft, kile kilicho wakilishwa bungeni ni mswada au bill kwa ajili ya kujadaliwa1. Kwenye uandishi wa vitabu kile kinachopelekwa kwa editors ni muswada.
2. Mwanamuziki anapoandika wimbo ni muswada.
3. Ktk utunzi wa sheria kile kinachoandaliwa na jopo la wataalamu ama kamati ya bunge ni muswada.
Kwahiyo hata haya ninayoandika hapa ni muswada. Mpk pale yatakapo kubaliwa ama kukataliwa na vyombo mahususi
πππππππππππππππππππππAhahaha jamani jamani jamani jamani hiii ndo tanzaniiiaaaaa yetu na ndiko tunaelekea hukooo jamani mmmmhWakuu
Nimekutana na clip hii ya Baba Levo akiwa ameulizwa maswali mepesi kabisa na huyu comedian anaitwa Kipotoshi. Hii interview ina miaka takribani minne lakini it is very relevant hata sasa
Yaani anaulizwa muswada ni nini hajui, muswada ni topic ipo form 1 sijui form 2
Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Anaulizwa nchi ina mihimili mingapi hajui kitu kabisa!
Huyu ndo anataka akawakilishe jimbo la Kigoma Mjini? Kama mambo mepesi ya kidato cha pili hawezi ataweza mambo mazito na kujadili mikataba yenye maslahi kwa nchi?
Kama mtu kama huyu anahisi na ana onfidence ya kwenda kuchukua fomu basi tuna shida kubwa sana kama taifa!
Ni aibu sana!
Kumbuka amewahi kuwa diwani huyu kwa miaka mitano!Wakuu

Oaaa wazee tunaangalia namna anavofkiliaaaa kama mtot wa std six asee atakama wadauuπππππππππππππππππππππAhahaha jamani jamani jamani jamani hiii ndo tanzaniiiaaaaa yetu na ndiko tunaelekea hukooo jamani mmmmh
Lkn yote kwa ujumla ni maoni. Ndiyo maana nikasema zunguka kokote uendako bado ni maoni tu.3. Kile kilicho andaliwa ni rasimi au draft, kile kilicho wakilishwa bungeni ni mswada au bill kwa ajili ya kujadaliwa
Kwa mchepuko...... HongoLkn yote kwa ujumla ni maoni. Ndiyo maana nikasema zunguka kokote uendako bado ni maoni tu.
Yaani ni sawa na pesa.
Pesa msibani....rambirambi.
Pesa kanisani....sadaka.
Pesa kazini.....mshahara.
Pesa kibaruani....ujira.
Pesa kuposa ......mahari.
ππππMbona unamuonea?Huyo ni kiazi kicherema.Hayo ni maswali ya darasa la tatu mwezi wa tano kabla hawajaenda likizo.