GE2025 VIDEO: Baba Levo kama alishindwa kujibu maswali mepesi kama haya, anawezaje kuwa Mbunge?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe ni comedian ...Hivi huyu si aliwai kua diwani wetu CHADEMA?
 
Neno muswaada liko "connected" na mambo ya sheria. mifano ulitoa hapo uko op kabisa!

muswada ni sheria ambayo haijapitia michakato flani flani
 
Muswaada si maoni yaani kwa maana ya opinion au mapendekezo au suggestions.

Muswaada au Bill ni maelezo/taarifa (statement) yanohusu mpango wa sheria yoyote ile mpya inotayarishwa na waziri/wizara kwa ajili ya kujadiliwa bungeni ili yakubalike au yakataliwe kuwa sheria kamili.

Bunge laweza kuukataa huo muswaada na ukarudishwa ili urekebishwe na uletwe tena bungeni kujadiliwa au laweza kuukubali muswaada huo na kupigiwa kura kisha kupitishwa kuwa sheria kamili.

Katika nchi zinojitambua, muswaada hukutana na changamoto kadhaa kama vile:

1. Kurudishwa ili ubadilishwe.

2. Kupitishwa ili uwe sheria kamili.

3. (Ambayo haijawahi kutokea) kutupiliwa mbali na mleta muswaada kuambiwa akajipange upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…