PreGE2025 Video: Babu Tale agawa kanga kwa wafuasi wa CCM huko Morogoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.

Siasa za kipumbavu sana!

Your browser is not able to display this video.
 
Mbona nimekuona ukiwa unapokea kanga aisee
 
Babu tale alikuwa hakanyagi jimboni naona amerudi kwa kishindo.
Chukua fomu ukawe Diwani au mbunge na kuwa sehemu ya mabadiliko unayoyatamani

Tarehe 27.06.2025 sio mbali jimbo na kata zinakuwa wazi, chukua fomu uwe unashinda jimboni na wananchi ukiwa unawaletea maendeleo mkuu

Tufanye mambo kwa vitendo, chukua fomu jimbo la morogoro vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…