Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Tatizo sio CCM pekee, bali tatizo kubwa ni hao ambao wanakubali kupewa kanga...
Yaani watu karibu wote wamesoma historia ya Tanganyika namna mkoloni alivyowahadaa Waafrika na kujitwalia madaraka na mali, lakini watu hawa hawa wanashindwa kuitumia hiyo elimu ya historia na kufananisha tabia za mkoloni na zile za CCM...