PreGE2025 Video: Babu Tale agawa kanga kwa wafuasi wa CCM huko Morogoro

PreGE2025 Video: Babu Tale agawa kanga kwa wafuasi wa CCM huko Morogoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Babu tale yeye ni TRA hivyo anagawa kanga baada ya kukusanya kodi za wanamorogoro vijijini?
Ni kazi yake kudai serikali ifanye hayo.., afanye hayo huduma ziende jimboni, sio kugawa kanga kama mbadala wa huduma bora
 
Ila majitu ya morogoro yalivyo mabogus,yatalirudisha hilo jitu bungeni.
 
😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.

Siasa za kipumbavu sana!

We ndio ni mwehu huna kazi ya kufanya mpk ufuatilie mambo ya mwanaume mwenzio. Kagawa kanga we inakuuma nini, inakuwasha nini pesa za kwake? Fanya mambo yako we kenge
 
Uwezo alio nao unampangia cha kufanya? fukara km wewe unachoweza ni kulalamika
Bado akili yake ni Ile ya Miaka ya 45 kwamba watanzania wanadanganyika na kanga hasa ukikaribia uchaguzi, kizazi kile kilishaisha
 
Ila majitu ya morogoro yalivyo mabogus,yatalirudisha hilo jitu bungeni.
Kuna siku liliomba mkandarasi wa finance and building
 
😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.

Siasa za kipumbavu sana!

Muda wa wanyonge kunyongwa umefika. Hapa watanyongwa hadi octoba wako hoi. Watanyongwa na kanga, kofia, pombe, michezo ya kugombea mbuzi n. K n. K 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kizazi cha miaka ya 50,60 na 70 ndio bado kina watu wengi wenye changamoto ya ujinga. Kikipita hiki biashara ya ccm itafilisika mtaji utakua umekata.
 
Back
Top Bottom