Nipeni hizo kodi mlizochukua toka kwa hao wananchi.., nifanye hayoWatu wananuna, watu wanakasirika. Peleka wewe huduma bora, nenda wewe kagawe hela, nenda wewe kajenge nk
Kila mtu anafanya kwa uwezo wake.
Acha awape #kanga hio ni dharau kwa wafuasi wake.😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.
Siasa za kipumbavu sana!
Babu tale yeye ni TRA hivyo anagawa kanga baada ya kukusanya kodi za wanamorogoro vijijini?Nipeni hizo kodi mlizochukua toka kwa hao wananchi.., nifanye hayo
Mkuu wewe kagawe Noah, fanya kwa uwezo wakoDah 😂 Ila ccm wana dharau sana wangese hawa 🙌 ila fresh tuu watanzania wnyw sisi hatujitambui
We Msela unaitaji kanga Ya Nini AloooBabu tale yeye ni TRA hivyo anagawa kanga baada ya kukusanya kodi za wanamorogoro vijijini?
TakrimaRushwa nje nje
Amerudi kwa kishindo na vitenge juu 🙌Babu tale alikuwa hakanyagi jimboni naona amerudi kwa kishindo.
Nikampe Dada yako mkuu.We Msela unaitaji kanga Ya Nini Alooo
Dah nimecheka knoma 😂yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.
Wewe umegawa nini katika jimbo ulilopo?Tatizo sio CCM pekee, bali tatizo kubwa ni hao ambao wanakubali kupewa kanga...
Yaani watu karibu wote wamesoma historia ya Tanganyika namna mkoloni alivyowahadaa Waafrika na kujitwalia madaraka na mali, lakini watu hawa hawa wanashindwa kuitumia hiyo elimu ya historia na kufananisha tabia za mkoloni na zile za CCM...
Agawe Ukweli kwanini rahisi wa Tanzania yuko juu ya kamati ya Uchaguzi ndio anachotakiwa kutuambia, Kila Mtu anajua ccm wezii aseme ukwli sio kugawa Kanga.... hvi Unajua Kanga shingapi Kwa Jumla Bei Cheeeeeh...agawe unga kama hiko chama hakifilisikiMkuu wewe kagawe Noah, fanya kwa uwezo wako
Nataka nikugawe ww kwa wanaume rijali wakupe haki yakoMkuu wewe kagawe Noah, fanya kwa uwezo wako
sasa siumwache dada akachukue mwenyewe au usikute ushawahi mnunulia demu wako Kanga ukampelekea🤣Nikampe Dada yako mkuu.
Kuna siku nmeona tena mtandaoni kaenda huko kawakusanya kaanza jucheza nao ngoma sijui ya kidini ya kimila inaitwa Dhikri aisee...!!Babu tale alikuwa hakanyagi jimboni naona amerudi kwa kishindo.
Na wewe kagawe vinginevyo wewe ndio kichekesho chenyewe😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.
Siasa za kipumbavu sana!
Takrima
Hata kama wagawe masikio au macho yao licha ya ubongo bado hawakubaliki😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.
Siasa za kipumbavu sana!