The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba akiwa ziarani katika Jimbo la Busanda Wilayani Geita Mkoani humo, amejikuta akishindwa kufikia miradi kwa wakati baada ya Msafara wake kukwama njiani kutokana na ubovu wa barabara hali iliyopelekea kutembea kwa mguu ili kwenda kukagua miradi hiyo iliyopo katika Jimbo la Busanda.
Baada ya kukamilika kwa ziara hiyo Mkuu wa Wilaya ya Geita aliungana na Wananchi katika Mkutano na kusikiliza kero za wananchi ambapo baadhi ya Wananchi walimtaka Mkuu wa Wilaya kutoa Maagizo kwa wakala wa barabara za Mijini na vijijini TARURA kukarabati barabara hizo ambazo zimekuwa ni kilio cha muda mrefu.
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze