🤣
Wakati nchi za baridi muda huu watandikwa na jua kali na joto linalosababisha misitu kuwaka moto na kuteketeza nyumba na vifo.
Sisi tunaenda kuganda na barafu, na umasikini wetu huu, tuombe sana japo kuwa ni miaka mingi ijayo kutokea sasa, lakini inaonekana huko ndio tunakoelekea.
Dah adi rahaaa, nakumbuka michezo ya kwenye barafuu...tulikuwa tunasokota barafu inakuwa ka tonge la ugali kisha unamshweka/mpiga nalo jirani ako kikalio chakee full kuchekaaa
Hivi theruji inayoanguka Russia ikahamia Africa kwa sababu ya global warming itakuwaje? Maana mafuriko yalivyowapelekesha wazungu na sasa joto ni balaa!!