Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Dah adi rahaaa, nakumbuka michezo ya kwenye barafuu...tulikuwa tunasokota barafu inakuwa ka tonge la ugali kisha unamshweka/mpiga nalo jirani ako kikalio chakee full kuchekaaa
Mkuu theruji sio neno la Kipare, ni neno la Kiswahili kumaanisha "snow" 🤣🤣🤣🤣
"theruji" ndio nini?
Hayo mawe ni ya kokoto kama hizi za kujengea au ni mawe ya barafu?Siyo barafu ilikuwa ni mvua ya mawe
Ha ha haaaa. Sio sio barafu ni mvua ya mawe. Kwani hiyo mvua ya mawe ni metamophic roacks au barafu kutokana na kuganda kwa maji?Siyo barafu ilikuwa ni mvua ya mawe
Labda matamshi ya "kipare"😂😂🤪Mkuu theruji sio neno la Kipare, ni neno la Kiswahili kumaanisha "snow" 🤣🤣🤣
kwa hiyo tumepotoshwa?Msidanganyike! Hapo ni biharamulo ya Sweden
Eti!!!??Msidanganyike! Hapo ni biharamulo ya Sweden