Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

Nahis me ntakuwa Msudan mbona me namuelewa tena sana tu na ni MTZ...alokwambia kuskika nje hadi ufanye kolabo nani?...Fanya kazi nzuri ipeleke sokoni...wimbo Wa AJE ulichukua tuzo karibu 13 na alifanya peke yake,afanye tu kwa kuwa labda mnapenda kuskia akifanya international collaboration bt si kigezo saana cha kujitanua..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alli Kiba level za best naso , inawezekana ni ukwel mchungu mpak anamdhulum producer kitu ambacho naamin hata best naso hawez fanya
 
Shukurani ya punda ni mateke huyu jamaa nyimbo zake zote hajawahi fikisha hata 700k views YouTube isipokua ile kaimba na Alikiba ambayo ina views 1.7M , bongo nchi ya laana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi akaimbe na Best naso tuone atafika wapi, ndio maana hua tunaona watu wana roho mbaya kumbe ni bora kuwa kauzu tu kuliko kung'ang'ana na watu wasio na shukurani, kwnn hua tuna kumbuka mabaya tu mazuri ya mtu tuna yasahau?
Sasa kwani kutokana na wimbo huo alioimba nae ndo hatakiwi kusema anachokiona

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…