Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

Man water alijua Ali kiba kama 20% Asa anashangaa Mwana harekod kwake na anasumbua mtaani yeye na vijana wake kibinadamu lazima iume na utafute kaubaya kidogo umchafue mtu..hahahahahaaaaa maana tangu ally aache sijaskia tena ngoma Kali kutoka KOMBINENGA

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo Ukweli Mkuu Ali kiba Alikua Anambeba Sana Man Water,
 
Ali ana platforms kubwa sana angetwist mziki wake kukamata soko la nje ya Tz kwa kufanya kollabo angeongeza mashabiki na angekuwa mbali sema ni mvivu asiyejichanganya na anayefanya vitu vyake mwenyewe.Kabaki kuimbia watz tu na watz wenyewe wameanza kutokumuelewa. Ali kama una pita huku changamka bhn.
 
Back
Top Bottom