Video: BAVICHA yawaapisha vijana wa Sumbawanga kiapo cha utayari

Wakianzishe basi kama wanao ubavu; sio kujifungia mabwenini na kubwatuka bwatuka hovyo.
Kuweka usawa, waondoe polisi na bunduki za wananchi,; mkabiriane nyinyi kwa nyinyi, yaani CHADEMA na CCM.
Sisi tutawapa uwanja mzuri tu wa mapambano yenu hayo.

Kila siku vidole vinawawasha hapa JF, huku mkining'inia kwenye migongo ya polisi.

Kama huo sio ujuha ni kitu gani.
 
Wakamatwe haraka sana wasije wakatuletea maafa, maana wameshakuwa brain washed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…