Kiapo kinahusu "kuwa tarari" kwa lipi?.
Kuilinda Tanzania dhidi ya maadui wa nje na ndani? Hapa nitakubaliana nacho
Zaidi ya hivyo inatia shaka; unaweza kuwa ndio mwanzo wa mteremko wenye utelezi!.
Ukitaka nitaeleza kwa kirefu, lakini mwelekeo huu bila kujali nani anahusika nao ni mwanzo wa majanga yasiyostahiri kuwepo kwa sasa.
Njia nzuuuri na iliyonyooka inafahamika, nayo ni kupitia kwa wananchi wa Tanzania, waifanye kazi inayowahusu wao.
Ikizuiwa kwa njia zote, basi "Kiapo" ni halali yetu sote.
Inabidi hao vijana walitambue hilo wakati wote.
Na kama wanachokozwa, hilo ni jambo jingine.