Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwa sasa lissu ndo turufu pekee iliyobaki chadema.Bawacha msiwe nyuma....Tazama kundi la baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wakimuunga mkono Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima" wakiwa kwenye uchaguzi wa kupata viongozi wao.
Pia, Soma:
Huyu jamaa huenda amepewa pesa nzito mnoo imeufunika hadi mti wa aibuYaan Mbowe kachokwa kwelikweli🤣🤣😂
Amekifanya chama kuwa ni biashara yake binafsi.Huyu jamaa huenda amepewa pesa nzito mnoo imeufunika hadi mti wa aibu
Chadema Imeamka, Tanzania imeamkaTazama kundi la baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wakimuunga mkono Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima" wakiwa kwenye uchaguzi wa kupata viongozi wao.
Pia, Soma:
HahahaaHuyu jamaa huenda amepewa pesa nzito mnoo imeufunika hadi mti wa aibu
HakikaMwamba tupishe, Lissu tuvushe.
Aisee amejichanganyaSafari hii Mbowe kashikwa pabaya