Video: BAWACHA wamuunga mkono Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima"

Wanajua mwamba amekipigania chama kwa gharama ipi ?
 
Lazima wamuunge lissu huwezi pambana kila miaka afu viti maalum wanachukua wao kwa wao wale wale .
 
Tatizo la Mbowe ni kuwa upande wa Mama. CHADEM kufa au kufufuka itategemea maamuzi ya Mbowe. Aamue kuvuruga uchaguzi au aache Demokrasia ichukuwe mkondo wake na akubali matokeo.
Kama kweli Chama ni mali yake, basi patachimbika
 
Mbowe ana wakati mgumu sana, nadhani anatamani kujitoa ila anawaza pa kuanzia. Kwanini asijiuguze tu wiki nzima kitandani yakapita haya. 🤣 🤣 🤣
 
Kule kwa mbogamboga sioni wakipewa tamko, sasa hv tutaona linatoka tamko serikalini kwamba vipindi vyote visitishwe na camera zielekee huko, maana kila siku hbr ya mjini ni chadema tu,

Akina lucas chawa na wenzao wote wamehamia kutuhabarisha yanayojiri chadema wamesahau majukumu yao huko kwao mbogamboga

Walikuja na vi clip vyao viwili vitatu vikionesha msafara wa mabasi ya kijani na mboga mboga lkn hayakuwa na impact yoyote ya kubadili upepo.

Me naona hata media zimewapuuza kwakuwa kazi wanayoenda kuifanya wangeimaliza hata kwenye simu tu ya kumpitisha huyo makamu wao kuliko kusombana kwenye mabasi na kwenda huko
 
Na sio nywele tu , Acha washupaze shingo zao , nazo zifyekelewe mbali.
Muda na majira yakiwadia, hata chawa akili huwarudia!

CCM na machawa wake waanze kutia maji vichwa vyao, maana ni wakati wa kinyozi kupitia vichwa vyao
 
Huku mbeya sugu kajichanganya hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…