Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kuna hii video inasambaa.

Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.

Soma pia:

Netanyahu.png

Netanyahu kwenye video fupi amejitokeza na kusema kuwa yuko imara na hakuna kitu kitamdhoofisha wakati anapigana na proxies wa Iran.

View attachment 3129721
Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.
 
Wakuu,

Kuna hii video inasambaa.

Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.

Soma pia:

Netanyahu kwenye video fupi amejitokeza na kusema kuwa yuko imara na hakuna kitu kitamdhoofisha wakati anapigana na proxies wa Iran.

ubabe wapi wewe kaukacha alijidai atasogea Iran, jana Israel walikuwa wanalia wameishiwa silaha na wamekiri silaha zao zimebomolewa na Iran. Hawa ndio wakapigane na Irani kiwa Hezbullah inawatia adabu.

Nchi ya kutegemea msada wa silaha za bure haiwezi pigana na Iran.
 
Tafuta kazi ya kufanya mkuu
 
Habari inasema kakomenti,so possibly ni kupitia mitandao,ila video inaweza kuwa ya zamani
Hii video hajazungumzia shambulio la drone inaweza kuwa ni ya leo mapema kabla drone haijapiga nyumba yake...

Japo inawezekana hilo shambulizi limemkosa, lakini kiusalama hawezi kukurupuka hivyo na kutoa video.
 
Middle east spectator wanadai kuna tetesi netanyahu kajeruhiwa
 
Back
Top Bottom