Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapiga bukta na kirembaSoon Ayatollah naye ataiga kutoka kibabe na kipedo
Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.
Habari inasema kakomenti,so possibly ni kupitia mitandao,ila video inaweza kuwa ya zamani
Kajitokeza yuko vizuri. Nadhani si rahisi katika kipindi hiki cha vita awe anakuwepo au kuishi nyumbani kwake kunakojulikana na wengi - na hata maadui.Aisee, ina maana alikuwa nyumbani mzee Neta...
Tutajua ukweli, atajificha ndani hadi lini?
Wakuu,
Kuna hii video inasambaa.
Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.
Soma pia:
Netanyahu kwenye video fupi amejitokeza na kusema kuwa yuko imara na hakuna kitu kitamdhoofisha wakati anapigana na proxies wa Iran.
Deep fake,huoni ipo chapchap video yenyeweAcheni ujinga video ya zamani kivipi wakati sinwar ameuwawa juzi?
Viva neta Pusi👏Wakuu,
Kuna hii video inasambaa.
Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.
Soma pia:
Netanyahu kwenye video fupi amejitokeza na kusema kuwa yuko imara na hakuna kitu kitamdhoofisha wakati anapigana na proxies wa Iran.
You!Wakuu,

Habari mbaya kwa magaidi wa jf woteWakuu,
Kuna hii video inasambaa.
Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.
Soma pia:
Netanyahu kwenye video fupi amejitokeza na kusema kuwa yuko imara na hakuna kitu kitamdhoofisha wakati anapigana na proxies wa Iran.
Mafuta yatamhusu😂Soon Ayatollah naye ataiga kutoka kibabe na kipedo
Kwahiyo Sin + war aliuliwa zamani?Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.
Iran ilishampa green light kuwa kujaribu ni bure!Kwahiyo Sin + war aliuliwa zamani?
Zamu ya Ayatollah itafika zile shuka anajitanda atahisi zina kunguni.
+ke na +me unahusiana nini na content iliyoandikwa? Hoja hujibiwa kwa hoja sio kushambulia jinsia ya mtu.Mkuu, ni mwanamke alieweka hili bandiko!