Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

Deep fake,huoni ipo chapchap video yenyewe
Daaah ila Muslim ni wabishi hasaa kwa hiyo unaona hiyo video ya zaman?
Ndiyo maana mnauwawa kizembe sana shaur ya ujinga wenu wa kubisha na kukataa uhalisia
Mnajipa matumain hewa
 
Wakuu,

Kuna hii video inasambaa.

Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.

Soma pia:



Netanyahu kwenye video fupi amejitokeza na kusema kuwa yuko imara na hakuna kitu kitamdhoofisha wakati anapigana na proxies wa Iran.


Hivi Ritz ana elimu gani? Huyu jamaa amekuwa akilishwa matango pori toka vita vimeanza. Akisimuliwa kitu na sheikh Kitinku analeta humu yaani ana akili kama za Mbayuwayu. Alishasema mara kadhaa Benj Neta ameuawa. Anadhani huyu ni kama wale wanaoishi kwenye mitaro na mashimo kama panya
 
Hivi Ritz ana elimu gani? Huyu jamaa amekuwa akilishwa matango pori toka vita vimeanza. Akisimuliwa kitu na sheikh Kitinku analeta humu yaani ana akili kama za Mbayuwayu. Alishasema mara kadhaa Benj Neta ameuawa. Anadhani huyu ni kama wale wanaoishi kwenye mitaro na mashimo kama panya
Ritz ni darasa la 3B na madrasa tu
 
Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.
Picha ya zamani wakati kwenye video kasema Jana wamemuua gaidi mkuu wa Hamas au lugha inakusumbua..
Tena watu wamekupa likes..ni vichekesho..
 
Benjamin Netanyahu ni mjanja Sana na watu wanashindwa kuelewa trick zake , ieleweke ya kwamba Israel lengo lake kuu miaka na miaka ni kuivamia Iran na wakati muafaka ndio huu sasa Ili kupata justification na uungwaji mkono kutoka jumuiya ya kimataifa hasa western countries, swagger kama hizi lazima waziruhusu zitokee Ili ikimlima mtu kichwa lawama zisiwe nyingi , otherwise ukirejea kauli za waziri WA ulizi wa Israel majibu yanaonesha nini kinakwenda kufanyika.
 
Waisrael wa matosa wamechafukwa kujua nyumba y netapanya imekuwa shabaa akija yajayo yanafuraisha vilio avipo mbali. Israel apambani n kobaz endeleeni kujitoa akili. Mwenzunu kawekwainjia panda. Akiwa ndani y nchi yake anaipigania akuna salama tena.
 
Jamani kuivamia Iran mbona haendi mnasema lengo lake ni hilo,badala tujiulize hao waliorusha drone wamepata wapi uwezo wa kuijua hiyo nyumba,pia uwezo wa Israel na mfumo wake wa ulinzi una mapungufu tunasema eti hawezi shinda nyumbani,vita hii hata Israel na USA imeonyenya Wana udhaifu kama wengine tu
 
Ipo siku atajaa kwenye mfumo ajue na yeye anawindwa
kabisa,yaani watu wanatoa ujumbe kwamba jifiche huko huko kwenye mahandaki ila ukijaa mfumoni tunakunyoa bila wembe
 
Iran ilishampa green light kuwa kujaribu ni bure!
Unafikiria hawatapigwa hao Iran watabondwa vizuri tuu, wanachokifanya ni kuwaandaa wana Iran na utawala mpya ambao utawapa uhuru.
 
Back
Top Bottom