Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.Wakuu,
Kuna hii video inasambaa.
Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.
Soma pia:
Netanyahu kwenye video fupi amejitokeza na kusema kuwa yuko imara na hakuna kitu kitamdhoofisha wakati anapigana na proxies wa Iran.
View attachment 3129721
Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.
Habari inasema kakomenti,so possibly ni kupitia mitandao,ila video inaweza kuwa ya zamaniI can bet my lunch today kuwa hujaitazama hiyo video hadi mwisho kusikiliza alichosema.
There is a reason hilo neno kibabe limewekwa hapo.
Sikiliza kabla ya kuhemka
Mkuu, ni mwanamke alieweka hili bandiko!Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.
ubabe wapi wewe kaukacha alijidai atasogea Iran, jana Israel walikuwa wanalia wameishiwa silaha na wamekiri silaha zao zimebomolewa na Iran. Hawa ndio wakapigane na Irani kiwa Hezbullah inawatia adabu.Wakuu,
Kuna hii video inasambaa.
Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza.
Soma pia:
Netanyahu kwenye video fupi amejitokeza na kusema kuwa yuko imara na hakuna kitu kitamdhoofisha wakati anapigana na proxies wa Iran.
Retarded individual, unaropoka vitu bila kuangalia contents zote za uzi.Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.
Tafuta kazi ya kufanya mkuuubabe wapi wewe kaukacha alijidai atasogea Iran, jana Israel walikuwa wanalia wameishiwa silaha na wamekiri silaha zao zimebomolewa na Iran. Hawa ndio wakapigane na Irani kiwa Hezbullah inawatia adabu.
Nchi ya kutegemea msada wa silaha za bure haiwezi pigana na Iran.
Tangu lin stirring akafa kabla ya movie kuisha? Mpka wavaa kobasi waishe kwanza ndyo maandiko yanasema ivyoo ,,,🤣🤣🤣Hayo mambo hayatangazwi mapema, huenda keshafutika katika uso wa dunia.
Hii video hajazungumzia shambulio la drone inaweza kuwa ni ya leo mapema kabla drone haijapiga nyumba yake...Habari inasema kakomenti,so possibly ni kupitia mitandao,ila video inaweza kuwa ya zamani
Middle east spectator wanadai kuna tetesi netanyahu kajeruhiwaHii video hajazungumzia shambulio la drone inaweza kuwa ni ya leo mapema kabla drone haijapiga nyumba yake...
Japo inawezekana hilo shambulizi limemkosa, lakini kiusalama hawezi kukurupuka hivyo na kutoa video.
Aisee, ina maana alikuwa nyumbani mzee Neta...Middle east spectator wanadai kuna tetesi netanyahu kajeruhiwa
Relax mkuu!! Basi muombe mtoa mada ondoa neno kibabe hapo juuUshabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.