Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

Ubabe upo wapi hapo sasa! Kujipendekeza kwingine nako!
 
Hivi ni kwanini Magaidi wakiuwawa wanakufa mdomo wazi?! Au wanakuwa wameshangaa nini?!
 
Aisee, ina maana alikuwa nyumbani mzee Neta...
Tutajua ukweli, atajificha ndani hadi lini?
Kajitokeza yuko vizuri. Nadhani si rahisi katika kipindi hiki cha vita awe anakuwepo au kuishi nyumbani kwake kunakojulikana na wengi - na hata maadui.
 
 
Viva neta Pusi👏
 
You!

 
Habari mbaya kwa magaidi wa jf wote
Cc ITR Malaria 2
 
Drone ilielekezwa ktk nyumba yake binafsi. Kiongozi hawezi kukaa kwenye nyumba binafsi wakati wa mapambano.
 
Ushabiki utawafanya wehu, hapo kiubabe ki vipi hiyo ni picha ya zamani duh.
Kwahiyo Sin + war aliuliwa zamani?

Zamu ya Ayatollah itafika zile shuka anajitanda atahisi zina kunguni.
 
Kwahiyo Sin + war aliuliwa zamani?

Zamu ya Ayatollah itafika zile shuka anajitanda atahisi zina kunguni.
Iran ilishampa green light kuwa kujaribu ni bure!
 
Baada ya kuuwawa Mkuu wao wa Magaidi Yahya Sinwar Magaidi wa Hamas wameanza kusurrender huko Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…