Video: Benki wameingia cha kike baada ya kutoa mkopo wa 50 Milioni

Video: Benki wameingia cha kike baada ya kutoa mkopo wa 50 Milioni

No way upewe mkopo wa 50M kwa biashara hio, hata kama uwe unafanya kweli vizuri ila hawakupi 50M
 
Watakua hawajampa, alafu bank hata uwe na biashara Gani kama huna collateral (Mali isiyohamishika) hawakupi pesa kwa mkopo wa biashara, aliweka Nini kama collateral kwani?

Japo hii niliona muda sana
 
Bank mpaka wakupe M50 wanaweza mpaka Kuja kukagua mke wako anavaa chupi rangi Gani

Wababaishaji sana watu wa benki
 
Back
Top Bottom